Jeshi
la Polisi Wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi linawashikilia watu watatu kwa
tuhuma za kumuuwa dereva Bodaboda mmoja aitwaye Frenk Joseph (25)mkazi
wa mtaa wa Nsemlwa Wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi kwa kumchinja shigo na
kisha kumpora pikipiki yake aina ya SANLG yenye namba za usajiri T 704
CDQ.
Kamanda wa jeshi la Polisi wa Mkoa wa
Katavi Kamishina msaidizi mwandamizi Dhahiri Kidavashari aliwataja
watuhumiwa hao kuwa ni Charles Kidaha(29),Madia Mtema (40) na Buyenza
Jendesha (40) wote wakazi waTarafa ya Mwese Wilayani Mpanda.
(Pichani chini ni wanaosadikiwa kuwa majambazi waliokamatwa kuhusiana na tukio hilo).





No comments:
Post a Comment