SINTAH AMPA MAKAVU LIVE IRENE UWOYA JUU YA PENZI LAKE NA MSAMI, HABARI KAMILI HAPA


                       

Blogger Sintah Amemchana Irene Uwoya baada ya Picha zake za Mahaba kusambaa Akiwa na Kiserengeti Boy cha THT.
Jisomee Alichosema Sintah
"Katika dawati letu hatusemi mengi zaidi ya kusema Irene, Irene, Irene??? why?

this is what we call jumping from the frying  pan into the fire, if i were you (Irene) would remain single for a while..... 

hivi bila kuonyesha mahaba hadharani ndio hupendwi vile? mmmmh au ndio tujue mwenzetu umezama katika dimbwi la mahaba sasa tukuwacheee....

Je wewe mdau una la kuongeza hapo??" Sintah

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger