UGANDA YAADHIBIWA NA MAREKANI KWA SABABU IMEPINGA USHOGAKIMA

REKANI YAIADHIBU UGANDA KWA KUPINGA USHOGA

Marekani imeadhidhibu Uganda kwa
kuweka sheria kali ya kupinga mapenzi ya
jinsi moja katika taifa hilo.
Msemaji wa Whitehouse, Caltlin Hayden
ameeleza katika barua yake kwa vyombo
vya habari kuwa sheria iliyopitishwa na
bunge la Uganda ikiuka haki za binadamu.
Vikwazo vya Marekani kwa Uganda kama
adhabu, vinajumisha kuwapiga marufuku
wanaharakati waliopigia debe sheria hiyo
kutoingia Marekani.
Marekani itapunguza ushirikiano na Wizara
ya Polisi na Afya za Uganda, na kuachana na
mpango wa mazoezi ya kijeshi kati ya
wanajeshi wa Marekani na wanajeshi wa
Uganda.
Uganda walipitisha sheria ambayo inaeleza
wazi mtu atakayekutwa na hatia ya
kushiriki katika masuala ya ushoga
atahukumiwa kifungo cha maisha jela.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger