ZIONE PICHA 10 ZA MWISHO ZA DIAMOND JANA KABLA YA UTOAJI TUZO ZA MTV
Mpaka
sasa zaidi ya asilimia 90 ya maandalizi yote yamekamilika na
kinachosubiriwa sasa hivi ni muda wa kujua washindi wa vipengele
mbalimbali wanavyoshindanishwa kupitia MTV Africa Music Award ‘MAMA’ na
Tanzania upande wa muziki tunae Diamond Platnumz pekee.
Add caption
Hizi
ni picha 10 za Diamond zikimuonyesha akiwa katika maandalizi ya mwisho
ikiwa ni pamoja na interview kadhaa alizofanya kabla ya tuzo kuanza
kutolewa,kama una Dstv tuzo hizi utazishuhudia kupitia channel 322. Marlon
Wayans ambaye ni miongoni mwa Waigizaji na pia mchekeshaji maarufu
nchini Marekani ambaye ni mwandishi wa muswada na mwongozaji wa
filamu,anatarajiwa kuwa ndiye muongozaji upande wa jukwaa katika
ugawaji wa Tuzo hizi.
Sehemu
ambayo zitatolewa tuzo hizi ni kwenye Ukumbi wa Durbun International
Convertion Center (ICC) katika mji wa Kwazulu-Natal, Afrika
Kusini,Ripota wako wa nguvu asiyekubali upitwe na kitu chochote iwe
usiku au mchana yuko South Africa kwa ajili ya kukufahamisha kila
kitakachoendelea.
No comments:
Post a Comment