DIAMOND NA WEMA SEPETU WACHANWA LIVE NA MTUNISIA

Mtunisi Awachana  
Msanii mkongwe wa filamu nchini, nice mohamed aka mtunisi amewapa makavu live mastaa wenzie ,diamond pamoja na hawara yake wema sepetu aka mama ubaya ,kwa kitendo alichokifanya staa huyo wa filamu(wema) kufutarisha nyumbani kwake na kumkaribisha harawa yake(Diamond) pamoja na mama mkwe wake(haijulikani mkwewe kwa nani na kwa ndoa ipi) bi sanura kitendo ambacho mtunisi amekiona ni kinyume na dini yao hiyo ya kiislamu.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger