Miss
Tanzania wa zamani na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu ameonesha picha
za kwanza za ofisi ya kampuni yake aliyoifungua, Endless Fame Films.
Kampuni hiyo inatarajia kuzinduliwa hivi karibuni.
Tazama picha hizi zinazoonesha kona mbalimbali za ofisi hiyo ya nguvu. Hongera sana Wema.
Washing room Wema ameandika: Managing director pale kati…. my lounge.
No comments:
Post a Comment