Mwanaume
mmoja amebakwa katika barabara ya daraja lenye shughuli nyingi mjini
Newcastle baada ya kukubali kupanda lifti ya mtu asiyemjua.
Mwanaume
huyo mwenye umri wa miaka 24 aliingia kwenye gari hilo dogo mapema
alfajiri ambapo alifanyiwa kitendo hicho cha ubakaji katika eneo lenye
nyasi nyingi karibu na daraja la Redheugh, Newcastle.
Timu
ya uchunguzi wa makosa ya ubakaji hivi sasa inaendesha msako wa mtu
aliyetekeleza kitendo hicho na kuwataka mashuhuda kujitokeza hadharani.
Afisa
upelelezi kutoka mji wa Newcastle, Caroline Ord, amesema hili ni tukio
baya zaidi kutendewa kwa kijana huyo ambapo sasa polisi wanafanya kazi
bega kwa bega na mtu huyo kuhakikisha wanampata aliyetenda kosa hilo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment