


Huyu
bint inasemekana ni mwanafunzi wa chuo ambae ni raia wa Kenya anaesoma
nchini pia ilidaiwa ni mtoto wa Waziri mmoha nchini humo
Huyu nae amewahi kupangiwa chumba na Manaiki maeneo ya Sinza na wakaishi zaidi ya mwaka mmoja kama mume na mke!

Msichana ambae inasemekana aliwahi kunusurika kunywa sumu kwa ajili ya penzi la Manaiki mmh.

No comments:
Post a Comment