STAR AVUA NGUO NA KUACHIA UTAMU NJE NJE BAADA YA KUPOMBEKA... JIONEE HAPA


Msanii anayechipukia katika tasnia ya kuigiza Isabela a.k.a "vai wa ukweli" alijikuta akiuza utu baada ya kufakamia pombe za buree toka kwa maswaiba wake wa karibu jijini Dar,nashuhuda wa tukio hilo wanadai alichanganya vileo.

     Tukio hili lilitokea jana usiku ikiwa ndo weekend imeanza ambapo muigiza huyu alijikuta anazidisha kunywa zaidi ya uwezo wa kichwa ndipo alipojikuta anasaula nguo bila kujua kwani alikuwa chakali full chapombe,baada ya muda kadhaa maswaiba wake walimpeleka kwao angali yuko taabani.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger