WANAFUNZI WA CHUO WAFANYA UCHAFU HADHARANI, ANGALIA HAPA MWENYEWE
Madenti wa chuo kimoja town wamenaswa wakijiachia live bila aibu katika
kile walichokiita kujipongeza baada ya kumaliza mitihani ya chuo maarufu
kama UE.
Madenti hao ambao wanachukua masomo ya uinjinia ambayo ni
magumu ajabu waliponda raha katika baa moja hapa town ambapo waliandaa
pati waliyoiita pen down party..
No comments:
Post a Comment