Anajulikana kwa jina la Lionel Messi anamiliki gari aina ya Maserai GranTurismo MC Stradale.Gari hii inathamani ya dola za kimarekani $143,000.
Hii ni gari ya Mcezaji wa Manchester United Wayne Rooney aina ya Overfinch Range Rover

Hii ni gari wa winga wa Real madrid mchezajii Cristiano Ronaldo aina ya BMW M6/Lamborghini Aventador

Hii ni gari wa winga wa Real madrid mchezajii Cristiano Ronaldo aina ya BMW M6/Lamborghini Aventador
Gari hii ni ya mchezajii Fernando Torres aina ya Aston Martin DB9

Nadhani utakuwa unamkubuka vema mchezaji David Beckham ambapo kipindi cha nyuma alishawahi kuvuma sana na magari yake laikini mpaka sasa anaendelea kufanya vizuri kwenye wachezaji wanaomiliki magari yenye thamani hii ni gari yake aina ya Jeep Wrangler/Porsche 911 Turbo/Rolls-Royce Ghost.
Beckham kwa sasa ambaye amejikita zaidi kwenye maswala ya biashara na kuacha soccer la kulipwa.







No comments:
Post a Comment