Story
ya kwanza ni kuhusu ujumbe mrefu aliondika Diamond kupitia ukurasa wake
wa instagram. Ujumbe huo unaonekana unaenda kwa msanii fulani japokuwa
hakuweka wazi ni msanii gani. Diamond aliweka post hii na baada ya muda
mfupi aliifuta lakini maneno yote yalikuwa yanasomeka hivi.
“Nafkiri
ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya dhati kwa Msanii wenu… kama
mngemshauri apunguze Mashoga wapenda anasa na apunguze Stareh zisizo na
Faida, wenda ingemsaidia Pesa kuzitumia kwenye kufanya kazi na kuleta
maendeleo badala ya kuwapa viwanda vya pombe…
Mimi
kama bwana, wajibu wangu ni kuhakikisha Mpenzi wangu anakula vizuri,
anavaa vizuri, analala vizuri, na kumuwezesha mtaji wa kufanyia kazi….
Waswahili wanasema Mchungaji bora anatakiwa kuhakikisha anampeleka
Ng’ombe wake Kwenye Maji safi….ila yeye ng’ombe mwenyewe ndio anatakiwa
aamue kunywa maji!!!!!
Au
mnataka nikishampa mtaji niache kufanya na show tena na kuigiza
nimuigizie mie ???? Nisiende Studio nikae dukani nimuuzie mie????.. ni
juhudi zako kwanza!… leo hii mimi Hata ningepewa Mamilioni ya mamilioni
kama nisingekuwa na moyo wa mie mwenyewe kwanza kutaka kujituma na
kupenda kufanya kazi yangu nisingefikia hapa nilipo!….Mxieeeeeeeew!��
Kama nimekuchefua Lamba ndimu Usitapike”.
Story
ya pili ni kuhusu Diamond kushinda award ya wimbo bora wa East Africa
na wimbo wa Number One. Award hiyo imetolewa nchini Burundi kwenye
TTTMAwards.
Hii
ni kuhusu ujumbe mrefu aliondika Diamond kupitia ukurasa wake wa
instagram. Ujumbe huo unaonekana unaenda kwa msanii fulani japokuwa
hakuweka wazi ni msanii gani. Diamond aliweka post hii na baada ya muda mfupi aliifuta lakini maneno yote yalikuwa yanasomeka hivi. - See more at: http://mdaumtata.blogspot.com/2014/08/kimenuka-mbayadiamond-awatemea-cheche.html?spref=fb#sthash.QXoJBK0B.dpuf

No comments:
Post a Comment