skip to main |
skip to sidebar
KUTOKA MSIBANI MOROGORO, TUNAKULETEA PICHA ZA MSIBA WA MAMA TUNDA , MKE WA AFANDE
Kila
nafsi itaonja umauti katangulia mbele ya haki mama tunda tuchukue muda
huu kumuombea dua MUNGU ailaze roho ya marehem paala pema amina pia
namuomba MUNGU ampe moyo wa subira baba tunda afande sele kwa kipindi
hiki kigumu inshaallah
No comments:
Post a Comment