skip to main |
skip to sidebar
MAPENZI: HUYU HOUSEBOY ATANIVUNJIA NDOA YANGU, NISHAURINI
Mie naitwa Agnes ni mama niliyeolewa toka mwaka 1992, nimekaa na mume
wangu kwa muda mrefu lakn hajawahi kunikuna kama nilivyokunwa na house
boy wangu. Sasa nimepagawa, kila siku natoroka kazin narudi nyumbani mume wangu akiwa hayupo na ananikuna sana. Nahisi
nimekolea kwenye penzi la house boy sasa wasi wasi wangu mume wangu
akijua sijui itakuwaje. Mnisaidie wandugu
No comments:
Post a Comment