Akizungumza
na mwandishi wetu, Hamisi alisema kuwa alitarajia kuwa mpaka sasa
wangekuwa wameshafunga ndoa lakini ghafla akasikia mchumba wake ametimka
Bongo hivyo ndoto yake kuzimika.
“Yaani
kwa kweli nimeumia ndoto yangu kutoweza kukamilika toka mwaka jana,
nampenda sana Jack na nilitamani awe mke wangu, nimesiki yupo China bora
anirudishie pete yangu, la sivyo nitaendelea kumsaka hadi kieleweke,”
alisema Hamisi.
No comments:
Post a Comment