skip to main |
skip to sidebar
DIAMOND APOST PICHA MPYA YA WEMA SEPETU NA KUMUONGELEA MANENO MAZITO SANA, YASOME HAPA
Laiti
kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa
lishazikwa na Kuoza...Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa.....vya furaha,
Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila
aina....lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama
tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi
tulipotokea...to the world, you may be one person...But
to me, you are the world, My Beautiful World...na kama kukupenda ni
uwendaazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata
Ufahamu....i may not be physically present to stand by you while you cut
your cake, but you’ll be in my thoughts the whole day! Happy birthday
Darling....mmeo niko nahangaika, bt i will be coming home soon....Love
you mama
No comments:
Post a Comment