Miss Sinza 2001, Husna Maulid akila ujana na modo maarufu Bongo anayejulikana kwa jina moja la Calisa.
Picha
hizo ambazo zinamuonesha Husna na Calisa wakiwa wamekumbatiana zimevuja
kiitelejensia na kumfikia paparazi wetu kisha akawauliza kulikoni? Ni
wapenzi?“Siyo kweli sina uhusiano na Calisa, sina boyfriend na sitaki mwanaume kwa sasa, Calisa ni rafiki yangu tu,” alijibu Husna huku Calisa akijibu:
“He hebu ngoja kwanza nitakupigia, hizo picha kaleta nani?”



No comments:
Post a Comment