skip to main |
skip to sidebar
HUYU NDIO ALIYEMPA WEMA BMW NA SI DIAMOND
Baada
ya Diamond Platnumz kumpa wema gari aina ya Nissan Murano kama zawadi
ya siku yake ya kuzaliwa basi maswali mengi yamejitokeza kuhusiana na
mtu aliyemkabidhi wema gari aina ya BMW neupe huku kila mtu akitaja mtu
wake lakini leo aliyemkabidhi gari hiyo, manager wake, Martin Kadinda
amefunguka haya…
hii ndio aliyopewa na Diamond
“Yes…. Not only Murano from ya baby @diamondplatnumz this
BMW is yours yes…. Suprised kuona jina kwa kadi?? I meant it… this car
came from kazi ndogo tufanyazo na support kubwa ya watu who wish you the
best always… peke yangu nisingeweza bila support yao. One thing you
should know nimejitolea kufanya kazi na wewe because naamini kwa
tanzania ur my number one celebrity and my wish is to see u living as a
truly superstar…. Make my dreams come true basi.. Wema mimi natembelea
vimeo lakini siwezi kukubali wewe ushuke huku.. Wema its hight time u
stand and this is high time to understand kuwa wewe ni star and u
deserve the best from ya fame…!! People loves u so much…..”
No comments:
Post a Comment