Akiwa
na miaka 27 tu mwanasoka bora wa zamani wa dunia Lionel Messi amezidi
kuchafua vitabu vya rekodi kwa kuweka na kuzivunja rekodi mwenyewe.Leo hii wakati FC Barcelona ilipoikaribisha Granada kwenye dimba la Nou Camp, Lionel Messi alifunga magoli mawili katika ushindi wa magoli 6-0.
Magoli hayo mawili yamemfanya Messi atimize jumla ya magoli 401 katika mechi 524 alizoichezea FC Barca na Argentina. Hii ni rekodi mpya kwa Messi.
Magoli mengine ya Barca yalifungwa na Neymar aliyefunga matatu, na Rakitic.
Timu ziliapangwa kama ifuatavyo
Barcelona: Bravo, Mathieu, Dani
Alves, Adriano, Mascherano, Busquets (Bartra 64), Xavi, Rakitic (Sergi
58), Neymar, El Haddadi (Ramirez 71), Messi.
Subs not used: Ter Stegen, Montoya, Pedro, Iniesta.
Goals: Neymar 26,45 & 66, Rakitic 43, Messi 62 & 82.
Bookings: Dani Alves
Granada: Fernandez
Alvalleros, Foulquier, Claude Babin, Nyom, Murillo, Yuste Canton
(Pascual Israfilov 45), Marquez Moreno, Iturra, Rico Castro (Medina Luna
45), El-Arabi (Martins 73), Success Ajayi.
Subs not used: Olazábal Paredes, Mainz, Nounkeu, Cordoba.
Bookings: Rico Castro, Foulquier.
Referee: Juan Martínez Munuera
Attendance: 72,596a

No comments:
Post a Comment