POZI ZA PICHA ZA WADADA WA MJINI SIKU HIZI, NI BALAA TUPU YANI, TAZAMA PICHA HAPA

siku hizi mapozi ya kupiga picha yameisha mpaka kufikia hatua ya kupiga picha kwa pozi hizi jamani au ndio utandawazi  ha ha ha ha ha ama kweli ni maendeleo sisi enzi zetu pozi zilikua nyingi tu unaweza ukalala kwenye majani au ukapigaa umeonyesha dole la ccm ha hah ah ila kwa sasa hizi pozi mmmh mi sitaki kabisa kama ndo hivi

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger