TEMBO MWENYE HASIRA KALI ALIVYO MTANDIKA KIBOKO

The baby hippos run for safety as the mother takes the full brunt of the force by the elephant
 nisamehe nakufaaa.".. ni kama Kiboko huyu alkuwa akimwambia Temboamsamehe ..
Take that: An elephant bull charges a female hippopotamus as her calf scampers to safety, in Erindi Private Game Reserve in Windhoek, Namibia
" Hapa kimenuka asije nigeuzia na mimi Kibao maana dah maza anapewa kichapo cha hatari" Ni kama mtoto Kiboko alikuwa akiondoka huku anatingisha kichwa.
Don't cross him: The hippo rolls after she is flipped into the air by the angry elephant
" Sasa nakwambia ondokaa fastaa ..... ukiendelea kubaki nakuanzishia kama mwanzo" Tembo huyu alionekana kama anamwambia Kiboko huyo.

Charge: The hippos got to close for comfort for the elephant who was grazing alongside them happily at first
"Tena waambie na hao viboko wenzako nitawatandika ..... " alionekana kama anamwambia kiboko yule aliyekuwa akimpiga "Kimbieni nyiee ..... kimbieniiiii..... atawamaliza! !" 

Hapa kichapo tuu......
Dah hiiii ilikuwa ni kashesheee......
 Daily Mail

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger