Mwanafunzi
amkata girlfriend wake kichwa baada ya kufanya nae mapenzi
Imetokea
kwenye jimbo la Niger, aliofanya unyama huo ni mwanafunz wa chuo cha Federal
University of Mechnology Minna, anaitwa Godwin Edeko na ameshakamatwa na Niger
state police, mtuhumiwa alijifungia ndani na msichana uyo kwa siku 3,majiranI
walisikia kelele,na jamaa akakimbia,majiran walivyoona kimya wakaingia ndani na
wakamkuta msichana amekatwa kichwa,uchunguz zaidi unaendele.
Sasa kama ni wivu wa mapenzi au ni kisa chochote sisi Mdadisi wa Mambo blog tunatoa tahadhari kwa wapenzi wote walio katika vyuo vyetu tuwe makini na partners wetu wengine wanakuwa na background mbaya maishani mwao. Wengine wanakuwa na hasira kupita kiasi, na wengine wanaweza kuwa na tatizo la akili. Inatakiwa mfahamiane vizuri kabla hamjaingia kwenye mapenzi ya kuingia chumbani. Kitu kama hiki kilichotokea Niger kinaweza kutokea hata hapa Tanzania…

No comments:
Post a Comment