AJALI MBAYA YATOKEA CHUMA ROAD KATI YA BODABODA NA LORI, MWENDESHA BODABODA AFARIKI PAPO HAPO. TAZAMA PICHA...!!

 
Ajali imetoke Mtaa wa chuma road karibu na bodi ya nafaka! Na Simba plastiki
 Wenye pikipiki walikua wanatoka Veta kunyoosha mbozi roar na mwenye gari anatokea kwa sokota, mwenye gari akapinda kona ya Simba Plastiki na kuwazoa wenye pikipiki,na asilimia mia dereva kafanya dharau saaana,maana alipinda gari ikiwa kwenye speed kubwa sana





No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger