skip to main |
skip to sidebar
BREAKING NEWzzzz: MSANII KASHI AFARIKI DUNIA..!!
Jaji Khamis 'Kashi' enzi za uhai wakeMWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Jaji Khamis 'Kashi' amefariki dunia muda mfupi uliopita akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mungu ailaze roho ya marehemu Kashi mahali pema peponi. AMEN!
No comments:
Post a Comment