HII NDIYO PICHA YA MWANAMKE ALIYEPOTEZA FAHAMU WAKATI WA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU MANGWEA KWENYE UWANJA WA JAMHURI MOROGORO LEO..!!
Mwanadada huyu ambaye hakufahamika jina lake mara moja alipoteza fahamu baada ya kuuaga mwili wa msanii mahiri wa Muziki wa Kipya, Albert Kenneth Mangweha leo katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.
No comments:
Post a Comment