HUU NDIO USHAHIDI WA SAMAKI MTU AU NGUVA ALIYEONEKANA HUKO ISRAEL. JIONEE MWENYEWE HAPA

Hivi majuzi huko Kiryat Ya,Israel baada ya watalii waliokuwa pembezeno mwa bahari hiyo kumuona nguva(SAMAKIMTU) akiwa juu ya mawe. Kutokana na habari hizi kuenea watalii wengi wamekuwa wakimiminika huko Israel wakiamini labda nawao watamuo.

Tizama Video Hiyo hapa

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger