JAMAA AFARIKI AKIWA NA DEMU GESTI HUKO MANZESE LEO MCHANA....DEMU ATOROKA NA KUTOKOMEA PASIPOJULIKANA..!!

Mwili wa jamaa huyo ukiwa katika difenda.
Wananchi wakiwa wamekusanyika katika gesti ya Uroda alipofia jamaa huyo.





Jamaa mmoja ambaye hakujulikana jina lake leo amekutwa amekufa katika gesti bubu iitwayo Uroda iliyopo Manzese Midizini jijini Dar. Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwa eneo la tukio ni kwamba marehemu alikuwa na mpenzi wake ambaye waliingia wote katika gesti hiyo lakini alikutwa jamaa peke yake. Mwili wa marehemu umepelekwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.

SOURCE: GPL

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger