VIDEO YA MWIGULU AKIDAI KUWA CHADEMA NI WAUAJI NA AMEKIRI KUHUSIKA NA VIDEO YA LWAKATARE


  • ASEMA CHADEMA WANAVIPAJI VYA KUSEMA UWONGO

     

  • ABAINISHA KUWA YEYE NDIYO ALIYETOA VITENDEA KAZI KWENYE VIDEO INAYODAIWA YA UGAIDI YA LWAKATARE

     

  • ANUKULIWA “CHADEMA NI CHAMA CHA WAUAJI MPAKA SASA WAMEUWA WATU ZAIDI YA WANANE”

     

  • MUSA, MHANGA WA TUKIO LA KUMWAGIWA TINDIKALI IGUNGA AMUUNGA MKONO.

Angalia video ambayo inamuonyesha Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba  akinadi chama chake kwenye kampeni za udiwani Arusha zikiwa zimebaki siku 6 tu kabla ya uchaguzi.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger