Baada ya habari za kukamatwa kwa mtanzania Agness Gerald na Melisa Edward, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 6 kuenea na kuthibitishwa na kamanda wa polisi kitengo cha kuzuia na kupambana na madawa ya kulevya "Godfrey Nzowa". Agness Jerald ambae wengi wanahisi ni Aggy Masogange ambae pia yuko nchini South Africa mpaka dakika hii, (ambapo haijajulikana kama ni yeye kweli) ameonekana akiendelea kuandika kupitia mtandao wa instagram licha ya kutangazwa kwa habari hizo.
masaa matatu yaliyopita Aggy alipost picha hii hapo chini
jessolomon@renatusleonard naomba nijuze kunani??
tarinawhtIn my prayers doll,fanya yko darling let them talk?@aggnesfineassgirl
carlozvellaWataongea sana ila yako yanafika utakapoooo
aggnesfineassgirlHahahah si umeitwaa unagoma bby @mattynemo
aggnesfineassgirl@wemalicious hahahaha bby usiniuee uwiiiiii
aggnesfineassgirl@minashabani nipo sauzi
carlozvellaAchana nao RESPECT KWAKO @aggnesfineassgirl
aggnesfineassgirl@chaggabarbie ????????????????
albertmgangajrAkili za wabongo bhana,achen unafiki jaman!!!wait n see
asmakarimPole no kweli umekatwa dear
hasnajalangoMh muulize wewe maana kang'ang'ana keshasema keshasema......amesea wapi nini ama udaku 2...@jessolomon
msafirijoab123Daaaaaaa wambea wanyamaze kabsa@aggnesfineassgirl
shinda2013Everybody can update the pics..
mattynemoNakuja soon... ngoja too mizigo iishe dar panachosha...@aggnesfineassgirl
minashabaniMumy nimekuwazia mengi nakukusikitikia sana@aggnesfineassgirl mwenyezi mungu akusaidi kama nikweli upo pouwa na afute hizi husda za midomo yawatu waliyo kuchuria mumy wangu
mariyumiisaidOhghogh***
leahna1112Pole sana mumyto kwanini wanakusingizia hivyo? Pls ukirudi wafungulie kesi haiwezekani wakuchafulie Jina kiasi hichi
achunbaaSasa hawa watu wanazusha maneno ya kisenge manake nn lkn
wolpergambenipgie ma bby plz @aggnesfineassgirl
aggnesfineassgirlSawa bby @wolpergambe
mpolesam@wolpergambe akupigii ngoo sababu sio yeye na ukimwambia ukweli anakublock ni mumewe anawazuga watu wanyamaze
nishabebee88Tunasemaga BUH BUH BUH likimpata mtuu timua vumbiiiiiii BUHHHHHHHHHHHH .. love u bby boo
salmakbarbinadamu haswa watz tumezoea kuona wenzetu wasiendelee wakuache mumy wng @aggnesfineassgirl , miss kisses
zhussein777hata ingekuwa kweli its non pipoz bussnes .... unatafuta zako huwa tafutii wao kula zako maisha @aggnesfineassgirl
tarinawhtAm hapi????????????,watasonyajeeeeee!!do ur thing hun achana na wazushi Kama nawaona hii hii ???????? dats y I lov u@aggnesfineassgirl
mamyluqMimi midomo yangu bado iko wazi uku kungekuwa na nzi ningemeza nzi nilivyoshaangaa wabongo tumefikia apa mtu anaropoka tu duuu pole mdada ila du
No comments:
Post a Comment