Anaitwa mc daleste ni msanii maarufu sana brazil, akiwa na umri mdogo kabisa wa miaka 20 kijana huyu keshafariki dunia kwa kupigwa risasa jukwaani wakati akifanya show. Kijana huyu alipigwa risasi moja tumboni iliyopelekea kifo chake papo hapo jukwaani. Mpaka sasa muuaji hajakamatwa kwani ukumbini umo kulikua na watu wengi. Unaweza tazama video yake siku alipopigwa risasi jukwaani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment