M 2 THE P ASHINDWA KUONGEA KWENYE USIKU WA NGWAIR.

Msanii wa hip hop M 2 the P ambae ni rafiki wa Marehemu Albert Mangwair alias CowBoma jana alishindwa kuongea kitu katika USIKU WA NGWAIR uliofanyika CITY CENTER(Samaki Samaki).

Sababu ni kwamba M2-THE-P anaumia sana kila inapofikia hali ya kumkumbuka swahiba wake Mangwair,

“Habari, am so happy kuwaona mkit-show real luv kwa mshikaji(Ngwair) siwezi kuongea kitu ila na ushukuru Uongozi wa Samaki Samaki kwa kusimamia event hii pia nawashukuru wadau wote mliohudhuria katika USIKU WA NGWAIR peace and luv to him”.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger