MASAI NYOTAMBOFU AVUNJA REKODI WAKATI WA SHEREHE YAKE YA KUZALIWA.

 
Msanii wa vichekesho na mwanablog, masai nyotambofu hivi karibu alivunja rekodi baada ya kukata keki kwa kutumia panga tofauti na utamaduni uliozoeleka wa kukata keki na kisu.

Katika sherehe hiyo msanii huyo alichom
oa panga kiunoni na kuanza kukata jambo ambalo liliwavutia wageni waliodhuria sherehe hiyo kuvunjika mbavu kwa vicheko vilivyosababisha na tendo hilo.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger