WAKAKA..HATA KAMA HUJAMPENDA MDADA AKIKUTAKA MTIMIZIE


Mie Home Arusha, Baba mngoni, mama Mchagga.....kwa sasa nipo dar

Kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana

Sikutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji ndoa naye bali kutoka naye at least twice.Nikafanikiwa kufahamiana naye na tukaanza kuchati.

Nikamwomba juzi jmosi- tutoke wote akanijibu ameshamaliza mshahara coz wanapokea date 18, nikamjibu usjali mie nitakuwa mwenyeji wako.

tukakubaliana kijihoteli anachotaka, saa kumi nipo chumban nampigia anatoa positive response, saa tatu usiku ananletea swaga za kishamba eti mkee wangu karudi, mara sjawahi kumdanganya mke wangu atanishtukia
Jana anantumia sms eti samahan aliniona kama malaya kwa sababu ya mimi kujipeleka kwake

-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger