Leo asubuhi nilipoamka nilifungulia radio yangu nikakuta Dk Sharifaa akifunguka na kudai kuwa yeye ndio mganga wa A.T
Huu ndio ujumbe wa Dk Sharifaa (Mganga)
‘‘Tangu bado hajafahamika yaani sio
mwanamuziki mimi nilikutana naye Zanzibar Unguja,tena nakumbuka kwa mara
ya mwisho alikuja na Gerry Rhymes lakini Gerry alikuwa afahamu kitu
chochote, chakushangaza tangu nilipomfanikishia mahitaji yake maana mimi
ni mganga basi amenisahau kabisa nikijaribu kumpigia simu hapokei mpaka
anapokei tuzo anapata safari za kwenda muscat amenisahau mimi ninaomba
anipatie vile vitu alivyoahidi kwangu anipatie,sio kwa ugomvi ila sheria
zetu sisi waganga kwasababu hizi ni kazi namdai deni la laki tisa
nikimpigia simu hapokei ndio maana nimekuja hapa kuripoti’Alisema Mganga
huyo.
‘Vitu vingine nilivyomsaidia vipo vingi
kwa mfano anapotarajia kuachia wimbo mpya basi anakuja na Cd kwangu na
mimi nafanyia taaluma yangu ya Uganga mwisho wa siku unakuta nyimbo zake
nyingi zinapamba.Mimi naitwa Doctor Shariffa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment