skip to main |
skip to sidebar
BINADAMU WA KWANZA KUFIKISHA FOLLOWERS MIL 50 KWENYE MTANDAO WA TWITTER
Mwanamuziki Ajulikanae kama Katy Perry
amekuwa mtu wa kwanza kufikisha followers Milion 50 kwenye mtandao wa
Twiiter ...Anae fuata kwa nyuma ni Justiner Birber ambae ana followers
Mil 49 na wa Tatu ni Raisi wa Marekani Amabe ana followers Mil
41....Mwee wewe Unawangapi ? Mie hata buku hawafiki lol.
No comments:
Post a Comment