SIMBA YABANWA NA KULAZISHWA SARE NA MTIBWA

HATIMAYE ubishi wa timu ya Mtibwa na wekundu wa msimbazi Simba umemalizika leo hii uwanja wa Jamhuri Stadium (Morogoro) baada ya kuchoshana nguvu kwa kufungana sare ya 1-1.
Matokeo hayo, yanaiongezea Simba na kufikisha pointi 31 kibindoni na kupanda  nafasi ya tatu, sawa na  Vinara Mbeya city wenye pointi 31.
Mfungaji wa Simba ni Hamisi Tambwe dakika ya 50 kipindi cha pili na Mtibwa Sugar ni Hasani Mgosi dakika ya 40 kipindi cha kwanza.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger