Zama za kale, Mfalme Herode wa Misri aliwaita wataalamu wote wa tiba
nchini kwake na kuwauliza kulikoni yeye alale kitandani kwa maradhi na
kushindwa kuufurahia ufalme wake ilihali wao wapo? Mkubwa wa wataalamu
hao alimjibu kwa kifupi tu: “Mfalme, ukiwa na kitunguu mkono wa kulia na
ndimu mkono wa kushoto basi hutaumwa kamwe.” Herode alifafanuliwa kuwa
akila ndimu na kitunguu kila siku hataumwa kabisa na alipojaribu aliona
afya yake ikiimarika kwa kasi sana.
Ndipo alipotangaza nchi nzima kuwa wazalishe mazao hayo kwa wingi ili Wamisri wasiumwe. Kilimo cha mazao hayo kilishamiri sana Misri na mpaka leo Kisiwa cha Handoal Sohag ni maarufu sana duniani kwa kilimo hicho. Kauli za wataalamu hao zilikuja kuthibitishwa na wataalamu wa tiba wa karne iliyopita kwa kukiri kuwa kitunguu kina madini ya salfa (sulphur) kwa wingi na dawa zilizotengenezwa kwa salfa zipo (Sulphur based medicines).
Hili ni funzo kwa serikali yetu pia. Wizara ya Kilimo ingeshirikiana na Wizara ya Afya kuhimiza uzalishaji na utumiaji wa kitunguu bila shaka wananchi wengi wangeboresha afya zao.
Tumalizie makala yetu. Kwanza kabisa ningekuomba msomaji kesho asubuhi ukiamka kula kachumbari wewe na familia yako na baada ya nusu saa mtaona wote mmepata nguvu za kuianza siku na hakika siku yenu itapendeza sana kiutendaji. Hili na liwe zoezi endelevu kila siku kwani kula kitunguu kila asubuhi ni ‘kick start’ bora kwa afya na nguvu.
Wapo ambao wanasumbuliwa na ugonjwa wa macho. Saga kitunguu upate juisi na uchanganye na asali kwa kipimo sawa. Dondoshea tone moja asubuhi na jioni ili kufukuza bakteria na hakika siku chache tu jicho litapona.
Hata wale wanaoharisha pia wanaweza kutafuna tu kitunguu na siyo tu kitamaliza maumivu bali kitaenda kutokomeza kabisa chanzo cha kuharisha. Halafu kuna wenzetu wapo mahospitalini kwa ugonjwa mbaya wa saratani. Nawasihi sana wagonjwa hawa wale kila siku walau kikombe kimoja cha kitunguu na walambe asali vijiko vitatu, kwani vinasaidia sana kupunguza athari za saratani na hutoa nafuu kubwa.
Mwisho wote ambao wana matatizo ya mkojo. Ukiona unatumia nguvu nyingi kuukamua mkojo na hutoka kidogo sana, basi kula sana kitunguu walau mara mbili kwa kutwa na hakika utagundua hali hiyo inapotea taratibu na kuisha kabisa.
Wenye ugonjwa wa kutokwa na damu wakati wa haja kubwa (hemmorroid), basi watengeneza juisi ya kitunguu kiasi cha glasi moja na kunywa kila siku asubuhi kabla hujala kitu chochote, fanya hivyo kwa muda wa wiki moja utapona kama bado endelea kunywa.

No comments:
Post a Comment