Irene alisema alitofautina na Kuambiana alipokuwa akiigiza Sinema ya
Broken Family, miezi kadhaa iliyopita lakini hadi jamaa huyo anapatwa na
umauti, hawakuwa na maelewano.
“Mimi nilikuwa na hasira, marehemu pia. Tukapishana kauli na kurushiana
maneno makali, nawashauri wasanii tuache bifu maana kama hivi kifo
kimemkuta ikiwa bado hatujapatana, namuombea lakini pia anisamehe huko
aliko,” alisema Irene.
No comments:
Post a Comment