Aliyekuwa
kiongozi wa Kundi la Mungiki, Maina Njenga akiwa Hospitali ya Wilaya ya
Nyahururu baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana.
WATU watano wamepoteza maisha huku aliyekuwa kiongozi wa Kundi la
Mungiki, Maina Njenga akijeruhiwa baada ya kushambuliwa na watu
wasiojulikana nchini Kenya jana.Maina alikuwa akisafiri na wenzake kwa shughuli za kifamilia kabla ya kushambuliwa kwa risasi katika barabara ya Ol Kalou, Nyahururu, Kenya.
Waliopoteza maisha ni wanaume watatu na wanawake wawili na wanaokadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 na 40.
No comments:
Post a Comment