RUGE: KIPINDI CHA BIBI BOMBA KUWADHALILISHA MABIBI WA KITANZANIA, IANGALIE VIDEO HAPA RUGE AKIFUNGUKA

7
Mapema wiki hii zilibuka tuhuma kwamba kipindi cha Bibi Bomba kinachorushwa katika kituo cha Clouds TV kimekuwa kikidhalilisha akina bibi wanaoshiriki katika shindano hilo la Bibi Bomba. Ayo TV ilipata nafasi ya kufanya mahojiano na mkurugenzi wa ufundi na uzalishaji wa Clouds Media Group Bwana Ruge Mutahaba kuhusiana na tuhuma hizo. Tazama hapa…………….


No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger