SNURA: MIMI NA DJ TUNAPENDANA SANA HIVYO MTASUBIRI SANA TUACHENI, SOMA MANENO YA SNURA HAPA
MAMAA Majanga, Snura
Mushi amekiri kutoka katika uvungu wa moyo wake kuwa amedhibitiwa vilivyo na penzi la jamaa anayetoka
naye kwa sasa aitwaye DJ Hunter hivyo hawezi kuachika.
Akipiga
stori na mwandishi wetu, Snura alifunguka kwamba tofauti na wanaume
wote aliowahi kuwa nao, DJ Hunter wanapendana kwa dhati na anaamini
ndiyo chaguo sahihi kwake. “Sijawahi kuwa na mpenzi nikamtambulisha
kwenye media bila kuwa nimempenda kwa dhati, tunapendana sana na Hunter,
hatuwezi kuachana kwa mipango ya binadamu,” alisema Snura
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment