STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha
‘Baby Madaha’ amesema anaishi katika staili ya kivyake hivyo kamwe
hawezi kuolewa kwa kufuata mkumbo kama ilivyo kwa wasanii wengine.
Akipiga stori na mwandishi wetu, Baby Madaha alikiri kuwa ana mchumba
ambaye ni Joh Kairuki, anampenda sana ila katika suala la kufunga ndoa
bado yupoyupo sana kwa sababu haolewi kwa kufuata mkumbo kwani
amejifunza kupitia kwa walioolewa na kuachika.
“Nitaolewa nitakapokuwa tayari siyo kwa kufuata mkumbo vinginevyo
bora nibakie hivihivi kwa sababu pesa kwangu ndiyo kila kitu, mambo
mengine yanafuata,” alisema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment