Barnaba
anajitayarisha kufanya video ya wimbo wake mpya “Wahaladee” na tayari
ametangaza kuwa video Queen wa kazi hiyo mpya atakuwa Mama Steven ambaye
ni mpenzi na mama mtoto wa wa msanii Barnaba
” Sina la kuandika zaidi ya Asante wife kukubali kuwa Video Qwen Wangu kwenye #Wahaladee Ilove
uu Verry moo much….. Sema nakulipa oky, sema sio nyingi, uwii sipati
Picha apo Location … Uwiii, uwiii ,mama ndani ya shela baba ndani ya
bangoooooo. “
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment