CHEKI LULU ALIVYO PENDEZA NA MTOKO WAKE USIKU HUU KWENYE RED CARPET




Bila kutarajia Lulu ameingia ndani ya Red cappet ya tuzo za watu akiwa ametokelezea mbaya, akiwaacha midomo wazi makamera man waliokuwa akifyatua picha hapo. yaani
utazani Beyonce kaingia kupokea tuzo. sijui mpenzi wa Blog hii unampa maksi ngapi?

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger