FAHAMU NJIA YAKUZUIA KUFIKIA KILELE (KUPIZI) HARAKA KWA WANAUME TU!!! SOMA HAPA

Sababu ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia
na Kiakili. Kama wewe pia ni moja yao na
unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii.

Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili
wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri,
kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia
ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea
afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu.
Kama una mwili wenye afya basi inaweza
kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo
huchangia kwenye swala zima la kuwahi kupizi.
Hii hutokana na hutokana na kuongeza kujiamini
na kujihusudu.

Pumua vizuri na kikamilifu: Kiungo chochote cha
mwili huhitaji nguvu kamili ili kufanya kazi na
ndivyo ilivyo kwa habari ya viungo vya uzazi!
Unapo pumua vizuri na kwa ukamilifu, kiungo hiki
hupata nguvu za ziada. Mbinu mbalimbali za
kupumua kama pranayama hujajwa kusaidia sana
kujifunza jinsi ya kuzuia kupizi mapema. Baada ya
kuinza tu (wakati wa tendo), jaribu kupumua kwa
ufasaha ili mwili uweze kupata hisia kabla ya
kuanza kufanya msuguano.

Mshirikishe mwenzako kikamilifu: Kuridhika
kimapenzi ni tukio ambalo wote wawili mnaridhika
kikamilifu. Ili kujifunza
kujizuia kukojoa haraka, ni
vizuri kuwasiliana na mwenzi wako wa kimapenzi.
Anaweza akakusaidia kushinda tatizo hili la kiaibu,
kila unapohisi unataka kukojoa mapema, sema
'ngoja' na usitishe kwanza shughuli zote kwa
muda kidogo.

Pia kabla ya kwenda kuanza tendo kwa mfano upo
ofisini na unajua jioni unakwenda kugegeda basi
jitahidi usiwaze hayo mambo chukulia kama ni
kitu cha kawaida. Hii ni kwasababu kuongeza
concentration ya kuwaza ngono inaongeza
stimulation kiasi kwamba ukiomgusa mpenzi wako
tayari umekwishaachia hata kabla ya kuingiza
Pia angalia angalia style zenye kuchochea kukojoa
haraka kwa mfano mbuzi kagoma.... etc hii ni
ngumu kujizuia kukojoa hasa kwa bao la kwanza
maana panakuwepo na constriction ya hali ya juu
very tighten kiasi kwamba ukigusa tu tayari ..so ni
vizuri style kama hizi zikafuata baada ya bao la

kwanza ili uweze ku-enjoy vizuri zaidi.
Fanya mazoezi ya kukojoa na kubana mkojo mara
kwa mara... hii ina maana kuwa unapokojoa
mkojo unaachia then unakatiza unaendelea tena
alafu unakatiza tena . Fanya mara tatu kila
unapokwenda kukojoa. Hii ni muhimu kwa ajili ya
kuongeza strength ya misuli ya uboo na
kupunguza relaxation yake ... njia hii imewasaidia
wengi na wamepona kabisa..

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger