HII TABIA YA KUBAMBIANA MADEMU INABOA SANA, MASELA WALALAMIKA


unajua hamna kitu inaboa kama upo club then unamwona binti mkali a hile unamsogelea kujaribu kumapproach , anakukata jicho then kiuno anamsusia demuwenzie, dah hii inaboa sana ukizingatia wanakua mara nyingine wameingia FREE

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger