HUDDAH MONROE: NAACHA KUVAA NA KUPIGA PICHA ZA UCHI KUANZIA LEO NI HIJAB KWENDA MBELE, MUONE ALIVYOTOKELEZEA
Inatia hamasa sana kwa kuona mastaa wengi na wa nchi tofauti wakionyesha heshima na support kwa waislamu kwa kuuheshimu mwezi huu mtukufu na kuanza kupigilia mavazi ya stara ambayo mara nyingi huwa yanavaliwa na waislamu duniani, okay msanii huddah monroe leo ameamua kutupia nguo ya stara ikimuonyesha amejifunika kwenye maumbile yake ya mwili ikiwa kama ishara ya kuwasupport waislamu wote duniani, okay mtandao wa makubwahayablog unapenda kumpa pongezi staa huyo kwa ushujaa aliofanya na support ya nguvu kwa waislamu wote, atleast u have shown some respect in this month of ramadhan
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment