Wakuu swali,
Nina msichana wangu nimekaa naye miaka miwili sasa, mwanzoni ilikuwa
ngumu sana kufika kule kunako wakati wa ku do, nikajitahidi sana
kuongeza maufundi sasa hali imebadilika sijamaliza ashamaliza na
kusinzia kabisa usingizi wakati bado niko juu yake nashughulika.
yaani huwa inakuwa like nina do mtu ambaye hayuko duniani hadi baadaye
kabisa baada ya nusu saa hivi ndo anashtuka, swali langu ni hiyo ni
kawaida au ana shida manake ni mda hajaniona nikimaliza kwani alikwisha
sinzia au ndo nina kibamia akimgusi kunako?
No comments:
Post a Comment