LAANA: MAJIRANI WAFANYA SHEREHE, KISA MTU WASIYEPENDA KUFARIKI, SIKILIZA HAPA

heka 
Kila siku Duniani kunakua na vituko vya aina tofauti sasa hii unaambiwa jamaa wameamua kufanya party baada ya mtu anaesemekana hawampendi kufariki dunia.
Kwa hali ya kawaida unaweza kushangaa wanawezaje kufanya party wakati wa msiba sasa Idara ya Hekaheka inakukutanisha na vvijana hawa waliokuwa wakicheza  ngoma na kushangilia baada ya msiba huo.

Bonyeza play kusikiliza.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger