LAANA:AVUA NGUO HADHARANI, ILI KUWAOMBA MIZIMU MSAMAHA
Kila
mwaka wakati wa majira ya joto maelfu ya watu kutoka kila sehemu ya nchi
ya Haiti hufanya msafara wakiimani kuelekea kijiji cha Ville Bonheur
kwenda kwenye maporomoko ya maji ya Saut d’Eau ambayo yalo karibu na
Mirebalais, hii ilianza tangu 1847.
Makundi
makubwa ya watu hao hufika na kufanya mambo mbalimbali ikiwemo kuomba,
kucheza, na watu wenye magonjwa /mikosi huvua nguo na kuoga kwenye maji
yanayo poromoka....Ili wapate kupona.Wengi huvua nguo na kuzirusha juu
ikiwa ni ishara ya kuachana na mabo ya nyuma na kuanza mamobo mapya.
No comments:
Post a Comment